Kikosi cha Yanga jioni ya leo kilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Ranges ambao ulipigwa ndani ya kambi ya Yanga, Avic Town
Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 huku mabao ya Yanga yakifungwa na Fiston Mayele, Ditram Nchimbi na Yusufu Athumani
Ni mfululizo wa michezo ya kirafiki ambayo Yanga inaendelea kucheza ili kumsaidia kocha Nasreddine Nabi kukiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United
ADVERTISE HERE