Sarpong katika majukumu mpya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2021
Sarpong katika majukumu mpya

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Michael Sarpong, ameanza majukumu yake kunako klabu ya Al Nahda inayoshiriki ligi kuu ya Saudi Arabia

Nyota huyo raia wa Ghana aliitumikia Yanga kwa msimu mmoja tu, akifikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki

Katika nafasi yake, Yanga imemrejesha Heritier Makambo ambaye pia amekabidhiwa jezi namba 19 aliyokuwa akiitumia Sarpong

Sarpong hakuwa na wakati mzuri Yanga, pengine anaweza kurejesha makali yake huko katika klabu yake mpya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’