Nabi ataka Yanga iruhusiwe kujifua uwanja wa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2021
Nabi ataka Yanga iruhusiwe kujifua uwanja wa Mkapa

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amependekeza kikosi chake kipewe ruhusa ya kujifua katika uwanja wa Benjamin Mkapa angalau kwa siku chache kuelekea mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Mchezo huo utapigwa Septemba 12 katika uwanja huo

Nabi amependekeza waruhusiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa angalau mara mbili kabla ya kuikabili Rivers United lengo likiwa kuwapa wachezaji wake uzoefu wa uwanja (hasa wageni)

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amethibitisha kupokea pendekezo hilo kutoka kwa Nabi na wamelifikisha kwa Serikali ambao ndio wamiliki wa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’