Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kuelekea mchezo wa ligi ya Mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili ijayo, Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Katika sehemu ya program ya mazoezi, Yanga ilicheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya Pan Africans na kufanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0
Bao pekee la Yanga liliwekwa kimiani ni Fiston Mayele. Huo ni mchezo wa tatu wa kirafiki Yanga inashinda huko Kigamboni




ADVERTISE HERE