FT : Tanzania 3-2 Madagascar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2021
FT : Tanzania 3-2 Madagascar

Tanzania imefanikiwa kuondoka na alama zote tatu uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kuichapa Madagascar mabao 3-2 katika mchezo wa kuwania tiketi ya fainali za kombe la Dunia Qatar

Bao la mapema la mkwaju wa penati lililofungwa na Erasto Nyoni baada ya Saimon Msuva kufanyiwa madhambi katika eneo la hatari, liliiweka Stars mbele kabla ya Novatus Dismas kuongeza bao la pili

Madagascar walikuja juu na walifanikiwa kusawazisha mabao hayo mpaka kufikia wakati wa mapumziko

Bao maridadi lililowekwa kambani na Feisal Salum katika kipindi cha pili lililotosha kuihakikishia Tanzania alama tatu muhimu ambazo zimewapeleka kileleni mwa kundi J

Tanzania imefikisha alama nne pamoja na mabao manne ya kufunga ikikaa kileleni mwa kundi J ikifuatia na Benin ambayo pia ina alama nne na mabao mawili ya kufunga

Mchezo unaofuata ni ugenini dhidi ya Benin na utapigwa mwezi Oktoba 2021

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’