Kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili, Septemba 12, klabu ya Yanga kupitia kwa msemaji wake Haji Manara leo itakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu, Jangwani kuanzia saa sita kamili mchana

ADVERTISE HERE