Yanga kuanzia Kagera Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2021
Yanga kuanzia Kagera Ligi Kuu

Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021/22 inatarajiwa kuanza Septemba 27 kwa mechi kupigwa katika viwanja mbalimbali

Mabingwa kihistoria Yanga wao wataanzia ligi ugenini Septemba 29 kule mkoani Kagera kwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar

Oktoba 02 Wananchi watarejea uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakaribisha wageni katika ligi kuu msimu huu, Geita Gold Fc

Oktoba 19 Wananchi wataendelea kusalia jijini Dar es salaam ambapo watawakabili KMC katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Oktoba 30 Wananchi watashuka uwanja wa BenjaminΒ  Mkapa kuwakaribisha Azam Fc

Novemba 02 Wananchi watashuka tena uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili Ruvu Shooting

Ratiba kamili itapatikana humu jukwaani katika ukurasa wa Ratiba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’