Nabi katika mtihani wa matokeo Nigeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2021
Nabi katika mtihani wa matokeo Nigeria

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anahitaji kupata ushindi katika mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Ni wazi Nabi anaweza kuwa kwenye wakati mgumu kama hataweza kuiongoza Yanga kupata ushindi kule Nigeria

Yanga imeanza vibaya msimu wakianza kwa kupoteza mchezo wa wiki ya Mwananchi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Zanaco

Kipigo cha Rivers United kinamfanya Nabi apoteze mchezo wa pili na kama Yanga haitapata matokeo huko Nigeria, utakuwa mchezo wa tatu

Baada ya mchezo huo Yanga itarejea Dar es salaam kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba ambao utapigwa Septemba 25

Dakika 180 za mchezo dhidi ya Rivers na mchezo dhidi ya Simba zina umuhimu wa kipekee kwa Nabi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’