Yassin, Bryson wanakaribia kurejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2021
Yassin, Bryson wanakaribia kurejea kikosini

Yanga imeanza msimu pasipo huduma ya walinzi wake wawili wa kushoto Yassin Mustafa na David Bryson ambao wameanza mazoezi karibuni baada ya kutoka kwenye majeruhi

Nyota hawa watakapokuwa 'fit' wataimarisha eneo la ulinzi upande wa kushoto ambalo sasa anahudumu Adeyum Saleh

Pamoja na wengi kukosoa kiwango alichoonyesha Adeyum Saleh katika mchezo uliopita dhidi ya Rivers United, bado Kocha Nasreddine Nabi atalazimika kumtumia nchini Nigeria kwa sababu bado Bryson na Yassin hawako tayari

Jambo la faraja ni kuwa nyota hao wanaweza kurejea mapema na pengine kuonekana uwanjani kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba ambao utapigwa Septemba 25

Tangu alipoumia Yassin katikati ya msimu uliopita, Yanga imekabiliwa na changamoto kwenye safu ya ulinzi upande wa kushoto

Usajili wa Bryson ulitarajiwa kumaliza changamoto, hata hivyo nae amelazimika kusubiri apone majeraha aliyopata mwishoni mwa msimu akiwa na KMC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’