Yanga kuifuata Rivers United usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Sep 2021
Yanga kuifuata Rivers United usiku

Msafara wa kikosi cha Yanga, utaondoka nchini leo majira ya saa mbili usiku kuelekea Nigeria wanakokabiliwa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Mchezo huo muhimu kwa Yanga kuibuka na ushindi, utapigwa Jumapili Septemba 19

Kaimu Mtendaji Mkuu wa klabu ya Yanga Haji Mfikirwa amesema msafara wa timu utakuwa na wachezaji 22, benchi la ufundi na viongozi ambapo kwa ujumla msafara utakuwa na watu 56

Pia wataungana na watu wengine wanaokwenda kuiunga mkono timu kule Nigeria

Amesema Yanga itaondoka na ndege ya kukodi (AirBus ya ATCL) na wanatarajiwa kufika Nigeria majira ya saa tano usiku

Mfikirwa amewataka Wananchama na Mashabiki wa Yanga wawe na imani na timu yao kwani wamejipanga na watafanya kila wanaloweza ili kuhakikisha wanapata matokeo ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’