Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Dkt. Benson Bana mapema leo alipata nafasi ya kukutana na Viongozi, Benchi la Ufundi pamoja na Wachezaji wa Yanga mjini Port Harcourt, Nigeria na kuzungumza machache
Dk Bana aliwapa wachezaji hamasa kuelekea mchezo wa marudiano kesho dhidi ya Rivers United Fc





ADVERTISE HERE