Uongozi wa Azam Media umethibitisha kuwa klabu ya Rivers United imewanyika haki za kuonyesha mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Rivers United dhidi ya Yanga ambao utapigwa baadae leo huko Nigeria
Aidha Rivers United pia imewagomea Azam Media kutangaza mchezo huo kupitia UFM wakidai hakutakuwa na matangazo yoyote ya mbashara
Pamoja na figisu zao, hawa Rivers United 'watajua hawajui' hasa kama mchezo utachezeshwa kwa kufuata sheria 17
Mpira una sheria zake, wanajaribu kuingiza woga kwa wachezaji wa Yanga tu, lakini naamini mshindi halali atapatikana baada ya dakika 90
ADVERTISE HERE