Safari ya kuelekea uwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2021
Safari ya kuelekea uwanjani

Kikosi cha Yanga tayari kimeondoka kwenye Hotel waliyofikia kuelekea uwanjani kwa ajili ya mchezo dhidi ya Rivers United ambao utapigwa kuanzia saa 12 jioni kwa saa za Tanzania

Mpaka sasa hakuna taarifa ya mchezaji yeyote kuzuiwa kutokana na vipimo vya uviko-19 (bado hawajatoa majibu)

Wachezaji wote wamejumuishwa katika msafara unaoelekea uwanjani

Kutoka Hotelini mpaka ulipo uwanja ambao mchezo huo utapigwa ni umbali wa takribani saa moja na nusu

Kila la kheri Wananchi...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’