Mlinda lango Djigu Diarra ni miongoni mwa wachezaji ambao wametajwa kuwa na maambukizi ya uviko-19 na maafisa wa Rivers United
Hata hivyo Diarra alitumiwa majibu ya vipimo vyake kwa njia ya barua pepe na aliguwa hana maambukizi
Hata kwa wachezaji wengine Feisal Salum, Mukoko Tonombe na Yacouba wametajwa kuwa na maambukizi ya Uviko-19 pasipo kupewa vyeti kuthibitisha
Bado uongozi wa Yanga umeweka ngumu kushuka dimbani
ADVERTISE HERE