Mchezo umemalizika, Rivers United 1-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
19 Sep 2021
Mchezo umemalizika, Rivers United 1-0 Yanga

Yanga imeondoshwa kwenye  michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kufungwa bao 1-0 na Rivers United kuwafanya Wanaigeria hao waondoke na ushindi wa jumla wa mabao 2-0

Ni pamoja na ushindi wa bao 1-0 waliopata uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Ulikuwa mchezo ambao uligubikwa na matukio mengi ya nje ya uwanja, wachezaji kudaiwa wana covid lakini baadae wakaruhusiwa kucheza baada ya Rivers United kutokuwa na uthibitsho wa vyeti

Yanga inarejea nyumbani kushindania mataji ya ndani

Pengine michuano ya msimu huu imekuja mapema, wakati Yanga ikikosa maandalizi ya kutosha

Timu itaondoka Nigeria leo kurejea Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE →
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE →
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE →
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE →
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE →
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE →
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE →