Hukumu ya shauri la Morrison yasogezwa mbele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2021
Hukumu ya shauri la Morrison yasogezwa mbele

Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa michezo (CAS) ilitarajiwa kutoa hukumu ya shauri la mchezaji Bernard Morrison dhidi ya Yanga leo

Hata hivyo taarifa zilizopatikana mapema leo, zimebainisha kuwa hukumu ya shauri hilo imesogezwa mbele, Oktoba 26

Wakili Alex Mgongolwa amethibitisha kupokea taarifa ya CAS kuhusu kuahirishwa kwa hukumu ya shauri hilo

"Tumepokea taarifa kutoka CAS ikieleza hukumu imesogezwa mbele mpaka Oktoba 26. Siku zote ukiona kama hukumu inasogezwa mbele basi mleta shauri ana hoja ndio maana unaona hivyo, kwahiyo tunasubiri maamuzi hayo," alisema Mgongolwa

Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Yanga ilipofungua shauri hilo CAS baada ya kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa na Kamati ya Rufaa na Hadhi za Wachezaji ya TFF ambayo ilibatilisha mkataba wa Morrison na Yanga na kumhalalisha ajiunge na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’