Balama yuko tayari kurejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Sep 2021
Balama yuko tayari kurejea kikosini

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Balama Mapinduzi amekamilisha programu maalum ya mazoezi binafsi ambayo alipewa na benchi la ufundi na kujiunga na wenzake

Balama anasubiri wito wa kocha Nasreddine Nabi kuweza kuanza kutumika rasmi kikosini

Balama alipata jeraha la enka katika mazoezi ya kikosi cha Yanga kilichokuwa kikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui Fc mwezi Juni mwaka jana

"Kwa sasa Balama tayari amemaliza programu binafsi za mazoezi maalum aliyokuwa amepewa na benchi la ufundi na ameanza kufanya mazoezi ya pamoja na wenzake. Hivyo kutokuonekana kwake hakuna mahusiano na majeraha bali ni maamuzi ya kocha mkuu ambaye kutokana na utayari wa mchezaji husika anaweza kumpa nafasi," alisema Daktari wa Yanga, Dk Shecky Mngazija

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’