Kocha Cedric Kaze tayari amewasili nchini ambapo uongozi wa Yanga unatarajiwa kumtambulisha kuwa Kocha Msaidizi wa mabingwa hao wa kihistoria
Kaze anakuja kusaidiana na Nasreddine Nabi ambaye anaendelea na majukumu yake ya Kocha Mkuu
Nafasi ya Kocha Msaidizi Yanga ilikuwa wazi baada ya Mabadiliko ya benchi la ufundi yaliyofanyika wakati timu ilipokuwa kambini Morocco
Karibu tena Cedric Kaze...aka Kazelona...!
ADVERTISE HERE