Djuma anawasubiri Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2021
Djuma anawasubiri Jumamosi

Mlinzi mahiri wa Yanga Djuma Shabani ni miongoni mwa wachezaji wanaotarajiwa kuwa katika kikosi kitakachoikabili Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi

Baada ya kukosa mechi mbili za ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United, ITC yake ikichelewa kuwasili sambamba na Khalid Aucho na Fiston Mayele, wachezaji hao wanatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi

Djuma alionyesha kiwango bora kwenye mchezo wa wiki ya Mwananchi dhidi ya Zanaco, wengi wanatarajia atafanya makubwa zaidi katika mchezo ujao dhidi ya Simba

Amepata muda wa kutosha kufanya mazoezi na wenzake, sasa yuko tayari kuwapa furaha mashabiki wa Yanga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’