Mukoko kuwakosa Simba Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2021
Mukoko kuwakosa Simba Ngao ya Jamii

Kiungo Mukoko Tonombe 'Teacher' hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoikabili Simba Jumamosi katika mchezo wa Ngao ya Jamii

Mukoko anatumikia adhabu ya kukosa michezo mitatu baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa fainali kombe la FA dhidi ya Simba msimu uliopita

Imeelezwa kanuni zinazotumika kwenye Ngao ya Jamii ni zilezile zinazotumika kwenye ligi na kombe la FA hivyo mchezo wa Ngao ya Jamii utakuwa mchezo wake wa kwanza kukosa na pia atakosa mechi nyingine mbili za mwanzo kwenye ligi

Hata hivyo usajili wa wachezaji Yannick Bangala na Khalid Aucho unampa amani kocha Nasreddine Nabi kwani anao watu wanaoweza kuziba pengo lake pasipo na mashaka yoyote

Bangala ni mchezaji kiraka anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi na kiungo

Katika mchezo dhidi ya Rivers United uliopigwa Nigeria, Bangala alianza katika kiungo sambamba na Mukoko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’