Ligi Kuu 2021/22 kuanza leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2021
Ligi Kuu 2021/22 kuanza leo

Hatimaye msimu mwingine wa ligi kuu ya Tanzania Bara umefika, mikiki mikiki ya 2021/22 inaanza leo kwa nyasi za viwanja vitatu kuwaka moto

Mchezo wa mapema saa nane mchana ni kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya Kwanza ambao utapigwa uwanja wa Mabatini

Saa kumi Alasiri Namungo Fc ambao msimu huu watatumia uwanja wa Ilulu Lindi katika michezo yao ya nyumbani, watamenyana na Geita Gold Fc

Mchezo mwingine ni kati ya Coastal Union dhidi ya Azam Fc ukipigwa uwanja wa Mkwakwani, Tanga

Yanga kampeni yake msimu huu itaanzia kule Kagera siku ya Jumatano watakapomenyana na Kagera Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’