Baada ya kuwasili mkoani Kagera mapema leo, jioni kikosi cha Yanga kilifanya mazoezi yake ya kwanza mkoani humo kuelekea mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Jumatano, Septemba 29 katika uwanja wa Kaitaba

ADVERTISE HERE