Nabi kuwashushia Kagera Sugar kikosi cha 'maangamizi'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2021
Nabi kuwashushia Kagera Sugar kikosi cha 'maangamizi'

Nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto ndiye mchezaji pekee ambaye anaweza kukosa mchezo dhidi ya Kagera Sugar leo baada ya kupata majeraha ya kidole

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi akishirikiana na Cedrick Kaze leo wanaweza kushusha kikosi kilekile kilichoimaliza Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii Jumamosi iliyopita

Nafasi ya Mwamnyeto anaweza kuingia Abdallah Shaibu 'Ninja' au kumrudisha Yannick Bangala katika safu ya ulinzi na eneo la kiungo akaingia Zawadi Mauya

Yanga inahitaji kuanza ligi kwa nguvu, matokeo ya ushindi yakiwa kipaumbele hasa baada ya wapinzani wake Simba na Azam Fc kuanza ligi kwa kusuasua

Azam Fc walilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Coastal Union wakati jana Simba walilazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Biashara United

Ushindi kwa Yanga leo utawapa faida ya alama mbili mbele ya wapinzani wao mapema kabisa

Msimu huu kila mchezo kwa Yanga ni fainali kuhakikisha ushindi unapatikana katika kila uwanja, iwe nyumbani au ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’