Tutawaheshimu Geita Gold - Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2021
Tutawaheshimu Geita Gold - Manara

Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema licha ya kuwa Geita Gold Wanashiriki ligi kuu kwa mara ya kwanza msimu huu, watawaheshimu pale watakapokutana nao katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi

Manara amesema baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao walifanikiwa kuondoka na alama zote tatu, wanaelekeza nguvu katika mchezo huo unaofuata

"Ndio tunakwenda hatua kwa hatua,hatutasema sana zaidi ya hamasa kwa watu wetu"

"Mchezo wa jana umepita, kwa sasa tunachoangalia  ni mchezo dhidi ya Geita Gold Jumamosi pale Kwa Mkapa"

"Ni muhimu sana kwa kuwa ni mchezo wa kwanza nyumbani katika msimu huu. Haijalishi kwamba wamepanda daraja msimu huu lakini tunao wajibu wa kuwaheshimu kama timu ya ligi kuu. Lakini wanapaswa kujua wanakuja kucheza na Yanga," alisema Manara

Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam leo wakitokea Kagera tayari kuwakaribisha Geita Gold uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’