Bryson wakati wake utafika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2021
Bryson wakati wake utafika

Mlinzi wa kushoto wa Yanga David Bryson ameendelea kuimarika baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa wiki kadhaa

Tangu asajiliwe na Yanga, Bryson bado hajapata nafasi ya kuonekana kikosini lakini ni kutokana na majeraha hayo ambayo alikuwa nayo wakati akisajiliwa na Yanga

Mkufunzi wa Yanga Nasreddine Nabi amesema wakati wa Bryson kuonekana kikosini utafika kwani ni muhimu kujiridhisha kuwa amepona majeraha kuliko kuhrakisha kumtumia halafu akaumia tena

Bryson pamoja na Yassin Mustafa wote wamepona majeraha na wanaendelea kuimarika kabla ya kuanza kutumika kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’