Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla leo anaanza ziara ya siku 10 mikoani akianzia mkoani Iringa leo kukutana na Wanachama na Mashabiki wa Yanga kujadili masuala mbalimbali yanayoihusu klabu
Awamu ya kwanza ya ziara yake itahusisha mikoa sita ya Iringa, Njombe, Mtwara, Ruvuma, Lindi na Pwani
Wanachama wa Yanga katika mikoa hiyo wametakiwa kutokosa fursa hiyo ya kukutana na Dk Msolla katika Matawi yao
Dk Msolla atamaliza ziara yake Oktoba 17
ADVERTISE HERE