Leo ni kumbukumbu ya kuzalia Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete
Mwanayanga halisi ambaye hakuwahi kuficha mapenzi yake kwa klabu hii kongwe zaidi nchini
Aliwatumika Watanzania kama Rais wao kwa miaka 10, JK ni mtu mpole na mwenye mapenzi ya kweli kwa watu wake
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu akiwa ametimiza miaka 71
HAPPY BIRTHDAY MZEE KIKWETE..!
ADVERTISE HERE