Kiungo na nahodha wa Twiga Stars Amina Bilali amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa michuano ya COSAFA ilifikia tamati leo kwa Twiga Stars kuibuka mabingwa baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Malawi
Bilali ambaye pia ni nahodha msaidizi wa Yanga Princess, amekuwa na michuano bora sana huko Afrika Kusini
Pongezi kwake kwa kuondoka na tuzo hiyo ambayo itamuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu ya mashindano hayo
ADVERTISE HERE