Oktoba 26 'kitaeleweka' CAS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2021
Oktoba 26 'kitaeleweka' CAS

Jana Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) iliirejeshea AS Vita alama tisa walizokuwa wamepokwa na Chama cha Soka cha DR Congo baada ya kudaiwa kumtumia mchezaji aliyekuwa na mgogoro

AS Vita walishinda ubingwa wa DR Congo mbele na TP Mazembe kwenye msimu uliopita hata hivyo walishangilia ubingwa huo kwa siku moja tu, wakanyang'anywa alama tisa na ubingwa wakapewa TP Mazembe waliokuwa wakishika nafasi ya pili

Hukumu hii inawakumbusha Wananchi kuwa na uvumilivu juu ya kesi ya klabu yao dhidi ya Bernard Morrison

Hukumu ya kesi hiyo imeshapigwa kalenda mara mbili lakini mwishoni mwa mwezi huu Oktoba 26 'kitaeleweka'

Yanga ilikata rufaa CAS kuidai haki waliyonyan'ganywa na Kamati ya Rufaa na Hadhi za Wachezaji ya TFF. Wakati mwingine haki inaweza kuchelewa lakini HAIPOTEI

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’