FT : Yanga 1-0 JKU

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2021
FT : Yanga 1-0 JKU

Yanga imeendelea kugawa dozi ya moja moja baada ya kuichapa JKU bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Bao pekee la Yanga lilifungwa na Fiston Mayele akimalizia krosi ya Yusufu Athumani

Yanga ilikuwa bora katika mchezo huo lakini changamoto bado imeonekana katika matumizi ya nafasi nyingi zinazotengenezwa

Aidha katika mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alimpa nafasi kiungo mshambuliaji Geofrey Nyarko raia wa Ghana ambaye yuko katika majaribio

Nyarko amekuwa akijifua na kikosi cha Yanga kwa takribani mwezi mmoja na kuwa uwezekano mkubwa ataongezwa kikosini katika usajili wa dirisha dogo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’