Winga wa Yanga Dickson Ambundo jana alishindwa kumaliza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU baada ya kuumia mkono
Nyota huyo alilazimika kupatiwa matibabu ya dharura uwanjani kutokana na maumivu makali aliyopata
Daktari wa Yanga Shecky Mngazija amesema Ambundo alitonesha jeraha la mkono alilopata wiki kadhaa zilizopita
Leo atafanyiwa vipimo zaidi, lakini Dk Mngazija amesema haionyeshi kama atashindwa kuendelea na mazoezi kwakuwa ilikuwa ni hali ya maumivu tu
ADVERTISE HERE