Yanga waitafuta pumzi ufukweni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2021
Yanga waitafuta pumzi ufukweni

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jana, hakuna muda wa kupoteza kwa Yanga kwani leo wananchi wameendelea na program za mazoezi

Katika mazoezi yaliyonyafika jioni, Wananchi walielekea ufukweni mwa bahari ya hindi kufanya mazoezi maalum katika kichanga

Mara nyingi mazoezi ya ufukweni yanasaidia katika kuimarisha pumzi za Wachezaji

Nabi anataka kuona kikosi chake kinacheza dakika 90 zikiwa na ubora uleule

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’