Kiungo fundi Khalid Aucho ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga waliokuwa katika majukumu ya timu za Taifa yeye akikiongoza kikosi cha Uganda Cranes akiwa nahodha katika mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia
Aucho amerejea kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya KMC ambao utapigwa Oktoba 19
Wananchi wanaendelea kujifua Avic Town kujiandaa na mchezo huo ambao utapigwa mkoani Ruvuma katika uwanja wa Majimaji
ADVERTISE HERE