Leo ni Oktoba 14 Watanzania wanaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu
Hayupo nasi kwa miaka 22 sasa lakini Tanzania itaendelea kumkumbuka kwa mambo mazuri aliyoifanyia wakati wa uhai wake

ADVERTISE HERE