Kwa Kibwana Shomari ni suala la muda tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Oct 2021
Kwa Kibwana Shomari ni suala la muda tu

Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema kwa uwezo unaoonyeshwa na mlinzi wa kulia Kibwana Shomari, ni suala la muda tu, ataipata heshima yake

Kibwana ameanza msimu wa 2021/22 kama alivyomaliza msimu uliopita. Ameshiriki katika kila mchezo ambao Yanga imecheza, amekuwa bora sana uwanjani

Haikushangaza kocha mkuu wa timu ya Taifa Kim Poulsen kumjumuisha katika kikosi cha timu ya Taifa akipata nafasi ya kucheza mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia dhidi ya Benin

"Nawaza kwa Sauti na najisemea mwenyewe moyoni mwangu na hakuna asiyejua uelewa wangu katika mpira wa miguu"

"Kibwana karibuni anakwenda kuishika hii nchi, umahiri wake katika kukaba na kukokota mpira unamfanya awe katka soko la walinzi washambuliaji bora wa kisasa. Haihitaji muda tena sasa ni wakati wake kututhibitishia alichonacho," aliandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Baada ya kukamilisha majukumu ya timu ya Taifa Kibwana amerejea kikosini akiungana na wachezaji wenzake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

Kwa hakika ataendelea kumpa mtihani kocha Nasreddine Nabi kutomuacha katika kikosi chake cha kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’