Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Ruvuma tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya KMC ambao utapigwa keshokutwa Jumanne katika uwanja wa Majimaji

ADVERTISE HERE