Hapo jana Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Boniface Wambura alitangaza tuzo atakayokuwa akipewa mchezaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Awali, mchezaji bora alikuwa anapata pesa peke yake kiasi cha shilingi milioni moja na kuanzia sasa mbali na pesa atakuwa akipata na tuzo iliyotambulishwa rasmi
Wambura alifanya mkutano jana na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)

ADVERTISE HERE