Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla amejitosa katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi
Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Steven Mghuto wa Coastal Union nae anagombea kwa awamu nyingine sambamba na Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu
Kila la kheri kwa Dk Msolla katika uchaguzi huo...!

ADVERTISE HERE