Kakolanya, Yanga wayamaliza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2018
Kakolanya, Yanga wayamaliza
Baada ya Meneja Seleman Haroub wa mchezaji Beno Kakolanya kutaka kupeleka barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) , uongozi wa klabu ya Yanga umeamua kukaa chini na meneja huyo ili kuzungumza kwa mara ya mwisho juu ya hatima ya mchezaji huyo ndani ya kikosi hicho.

Akizungumza na MCL Digital, Meneja huyo alisema ameketi chini na mmoja wa viongozi wa klabu hiyo na kuzungumza upya, wamekubaliana baadhi ya vitu.

Ò€œSisi sote ni binadamu hivyo tuliwasiliana na uongozi husika na kukubaliana upya baadhi ya vitu, kwahiyo mazungumzo yetu yalikuwa mazuri ndio maana sikufika mbele zaidi nikaona ngoja tusubilie makubaliano yetu kama yataenda kama tulivyopanga,Ò€ alisema.

Haroub aliongeza kwamba mchezaji wake anahitaji ili kuongeza thamani yake, hivyo kuwa katika malumbano ya kila mara na mwajiri wake huku ukiwa huchezi inakuwa haipendezi ndio maana wameona wakae chini upya baada ya uongozi kutaka hivyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
31m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
56m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’