Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea Songea ambako jana walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imerejea kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Oktoba 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa





ADVERTISE HERE