Baada ya kurejea kutoka Songea, viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wa Yanga walifika kwenye msiba wa Mzee Godfrey Nyang’anya ambaye ni Baba mzazi wa mlinzi wa kulia wa Yanga Paulo Godfrey Nyan'ganya
Kikosi cha Yanga kilipata nafasi kwenda kuaga mwili wa marehemu hospital ya Temeke jijini Dar es salaam
Mwenye ez Mungu awape uvumilivu wafiwa katika kipindi hiki kigumu


ADVERTISE HERE