Kuna nini huko?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Oct 2021
Kuna nini huko?

Jamanieee, tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chiniiiiiii. Naona Disemba kama inachelewa hivi...!

Mpira ni mchezo wa hadharani, mbwembwe nyingiiii lakini kumbe dhoof'l hali

Yanga ingeweza kufanya vizuri sana kwenye mashindano haya ni bahati mbaya yalikuja katika kipindi kibaya

Yanga ilibezwa sana ilipotolewa katika mashindano haya bila ya kujali mazingira yaliyokuwa yakiwakabili

Lakini taratibu mafuta yanaanza kujitenga na maji...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’