Kikosi cha Yanga kimerejea mapema leo kutoka visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.
Yanga iliondoshwa kwa mikwaji ya penati katika hatua ya nusu fainali dhidi ya URA baada ya matokeo ya suluhu ya 0-0 hapo jana.
Sasa inaelekeza nguvu kwenye ligi kuu ya Vodacom ambapo Jumatano ijayo, Januari 17 itashuka kwenye dimba la Uhuru kuivaa Mwadui FC.

ADVERTISE HERE