Baada ya mapumziko kupisha michuano ya kombe la Mapinduzi inayofikia tamati keshokutwa Jumamosi kwa Azam FC kuivaa URA, ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 13 inatarajiwa kuendelea siku hiyohiyo ya Januari 13, 2017.
Jumamosi kunatarajiwa kupigwa michezo mitatu na mchezo mmoja ukipigwa siku ya Jumapili kama inavyoonekana katika ratiba hapa chini.

Yanga inatarajiwa kushuka dimba la Uhuru Jumatano, Januari 17 kuivaa Mwadui FC wakati vinara wa ligi hiyo, Simba na Azam FC watashuka dimba Alhamisi Januari 18.
Simba itakuwa uwanja wa Uhuru kuikabili Singida United wakati Azam FC itakuwa ugenini dhidi ya Majimaji

ADVERTISE HERE