FT : Yanga 2-0 Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Oct 2021
FT : Yanga 2-0 Azam Fc

Wananchi wametakata uwanja wa Benjamin Mkapa jioni ya leo wakiitandika Azam Fc mabao 2-0 na kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi kibabe

Kwa hakika mashabiki wa soka nchini leo wameshuhudia mchezo bora na aina yake huku Yanga ikiwapa salamu wapinzani wao kuwa hakuna utani, wanautaka ubingwa msimu huu

Fiston Mayele alianza kuifungia Yanga bao la kuongoza kwenye dakika ya 36 akimalizia krosi murua kutoka kwa Kibwana Shomari

Kulikuwa na maneno kuwa Yanga inakata upepo kwenye kipindi cha pili, leo Wananchi wamedhihirisha kuwa hayo ni maneno tu kwani walikuwa bora zaidi kwenye kipindi cha pili

Bao la pili lilifungwa na Jesus Moloko kwenye dakika ya 73 akimalizia pasi murua ya Yacouba Songne

Yanga ililitengeneza bao hilo kuanzia nyuma kwa pasi fupi fupi kabla ya Moloko kuuweka mpira kambani

Zilikuwa dakika tisini bora kutoka kwa vijana wa Yanga, ushindi waliostahili!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’