Kaze apongeza wachezaji, mapambano yanaendelea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Nov 2021
Kaze apongeza wachezaji, mapambano yanaendelea

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema ni faraja kuona kile wanachofundisha katika uwanja wa mazoezi wachezaji wameanza kukionyesha

Wanayanga wanajivunia kiwango bora kinachoonyeshwa na timu yao lakini Kaze amesema bado hawajafika wanapopataka

Benchi la ufundi chini ya Kocha Nasreddine Nabi anayesaidiwa na Kaze na pamoja na wataalamu wengine walio katika benchi hilo, wanafanya kazi kubwa ya kuisuka Yanga. Kwa muda mfupi, ni kama wamefanikiwa kuifanya Yanga kuwa timu tishio. 

Kaze amesema wakati wa kusherehekea bado haujafika, wana safari ndefu mpaka msimu kumalizika. Hivyo wanapaswa kuendelea kujiimarisha na kuhakikisha wanashinda kila mchezo unaokuja mbele yao

"Mechi ya nne ya ligi, imetupa ushindi wa nne dhidi ya timu nzuri ya Azam FC. Hakuna sababu ya kusherehekea tunajua kama Ligi ingali mwanzo na tungali na safari ndefu kufika mwisho"

"Tumerudi mazoezini kujiandaa na mchezo wetu inaofuata dhidi ya Ruvu Shooting," alisema Kaze

Jana mkufunzi wa Yanga, profesa Nabi alisema kinachoonyeshwa na wachezaji wake sasa ni asilimia 45% mpaka 50% tu na kuwa baada ya mwezi mmoja timu yake itaonyesha ubora kwa asilimia 100%!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’