Wananchi wanahesabu saa kabla ya kuelekea uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Ni mchezo ambao Yanga wamekuwa na wastani mzuri wa kupata ushindi
Feisal ndiye kinara wa kufunga ambapo tangu msimu wa 2017/18 amefunga mabao matatu
Feisal leo anatarajiwa kukiongoza kikosi cha Yanga katika mchezo huo ambao Yanga inazihitaji alama zote tatu

ADVERTISE HERE