Fundi aliporejea kazini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2021
Fundi aliporejea kazini

Juzi Saido Ntibazonkiza alipata nafasi yake ya kwanza kuonekana kwenye kikosi cha Yanga katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ambao Yanga iliondoka na ushindi wa mabao 3-1

Imekuwa sio rahisi sana kwa Ntibazonkiza kupata nafasi ya kuonekana kikosini kutokana na ushindani wa namba

Kuumia kwa Yacouba katika mchezo uliopita, kulitoa nafasi kwake kuingia

Saido ni mmoja wa wachezaji vipenzi wa mashabiki kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika msimu uliopita

Wananchi bado wana imani kubwa kwake, kwani ndiye mchezaji anayeuliziwa sana pale anapokosekana kikosini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’