Mlinzi wa kulia wa Yanga Shabani Djuma amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo ambacho kitacheza na Tanzania Novemba 11 mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia
Wachezaji 10 wa Yanga wameitwa katika timu za Taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia
Pamoja nae ni Khalid Aucho (Uganda), Yacouba Songne (Burkina Faso) na Djigui Diarra (Mali)
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania ni Ramadhani Kabwili, Kibwana Shomari, Bakari Nondo Mwamnyet, Dickson Job, Zawadi Mauya na Feisal Salum 'Fei Toto'
ADVERTISE HERE