Usajili mkubwa unakuja dirisha dogo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2021
Usajili mkubwa unakuja dirisha dogo

Juzi wakati akishiriki katika kipindi cha Michezo East Africa Radio, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said alisema kuwa hakuna timu hapa Tanzania inaweza kumkataa mchezaji kama Clatous Chama ambaye amefanya mambo makubwa katika ligi yetu

Kwa misimu kadhaa kumekuwa na tetesi nyingi zilizomuhusu Chama na klabu ya Yanga

Isingekuwa rahisi kwa Yanga kumsajili Chama wakati yuko Simba, kutokana na ushindani mkubwa uliopo baina ya vilabu hivi

Kuna wakati Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela aliingia matatani kwa kutamka kuwa Yanga ilikuwa kwenye mchakato wa kumsajili Chama

Jambo hilo baadae lilimalizika kwa Mwakalebela kuomba radhi kuwa ilikuwa sehemu ya utani wa jadi

Lakini wakati huu ametamka bosi mwenyewe anayesimamia masuala ya usajili, Injinia Hersi

Yanga imedhamiria kukiimarisha kikosi chake zaidi kwenye usajili wa dirisha dogo

Kuna nafasi mbili za kuongezea wachezaji wa kigeni lakini pia wako nyota ambao mikataba yao inaelekea ukingo

Je ni tetesi tu? Tusubiri dirisha dogo..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’